English to Swahili: Social Networking General field: Social Sciences Detailed field: Social Science, Sociology, Ethics, etc. | |
Source text - English Social networking has changed the way people interact with each other in so many ways. People no longer need to meet personally to share information. All you need to do is have an email or Facebook account and you can pass on the intended information. I personally think that using technology is better that the old conservative ways of communication since I consider the convenience technology offers. You no longer have to travel to far away countries to see your loved one's, instead, use Skype. | Translation - Swahili
Mitandao ya kijamii imebadilisha njia ya kushirikiana na kila mmoja kwa njia nyingi. Watu si lazima wapatane kwa nia ya kubadilishan taarifa au taarifa. Kile ambacho mtu unahitaji kufanya ni kuwa na akaunti ya barua pepe au akaunti Facebook na unaweza kupitisha taarifa iliyokusudiwa. Mimi binafsi nadhani kwamba kwa kutumia teknolojia ni bora kuliko kutumia njia za jadi kuwasiliana kwa vile nafahamu urahisi wa kuwasiliana teknolojia inapotumika. Hakuna haja ya kusafiri kwa nchi zinginezo kuona wapendwa wetu, badala yake, twaweza kutumia Skype.
|