Mimi ni mtafsiri wa Kiingereza-Kiswahili mwenye shauku na nidhamu ya kazi. Ingawa nipo level ya mwanzo, nina kujitolea 100% kutoa tafsiri sahihi, asilia, na kwa wakati.
Uwezo wangu: - Tafsiri EN↔SW ya documents, makala, tovuti, na maandishi ya jumla - Utafiti wa istilahi sahihi kwa kutumia kamusi na rasilimali za kitaalamu - Kutumia MS Word, Google Docs, na Excel kwa ufasaha - Proofreading na quality checking kabla ya kuwasilisha kazi
Niko tayari kufanya test ya majaribio ili mteja aone ubora wa kazi yangu. Lengo langu ni kujenga uhusiano wa muda mrefu na wateja kupitia huduma bora, mawasiliano ya haraka, na uaminifu.
Niko Dar es Salaam, Tanzania na napatikana muda wote kupitia ujumbe wa ProZ. |