Nov 27, 2022 15:39
1 yr ago
20 viewers *
English term

Proposed translations

39 mins
Selected

Chini ya shinikizo

Hutumika kuelezea msukumo ambao mtu anakuwa nao na humsukuma au kupelekea kufanya jambo flani.

--------------------------------------------------
Note added at 46 mins (2022-11-27 16:26:31 GMT)
--------------------------------------------------

It describes a certain state of being pressurized which also in Swahili can be said as "kushinikizwa"

Jared alichukua uamuzi huo chini ya shinikizo / Jared alichukua uamuzi huo kwa kushinikizwa.

Both sentences imply you made a decision under pressure / by being pressurized.

Note from asker:
Asante
Something went wrong...
4 KudoZ points awarded for this answer.
2 hrs

Chini ya msukumo/kwa msukumo

Mara nyingi neno hili laweza kutumika kama Chini ya au kwa msukumo wa kitu flani mfano kila siku hufagia asubuhi chini ya msukumo/kwa msukumo wa mama.
Hivyo laweza kutumika kama chini ya msukumo wa au kwa msukumo wa katika kazi fulani, na mara nyingi jambo hilo huwa ni la haraka japo sio mara zote.
Example sentence:

Abdala ni mtu anaependa kufanya kazi chini ya msukumo wa kiongozi wake wa kazi.

Abdala ni mtu anaependa kufanya kazi kwa msukumo wa kiongozi wake wa kazi.

Something went wrong...
3 hrs

Chini ya msukumo/shinikizo/utawala

huonyesha kuwa jambo linalotendeka ni kutokana na utawala ama uongozi wa kitu fulani na si matakwa halisi ya mtendaji wa jambo hilo
Example sentence:

Mtoto amemaliza chakula kwa sababu ya shinikizo la viboko.

Something went wrong...
14 hrs

chini ya shinikizo, kushinikizwa

Ni hali ya kufanya jambo bila hiari, bila ridhaa ya mhusika au kufanya jambo kwa hofu ya kitu fulani kama muda, hali ya hewa, mazingira, au utawala.
Mfano: Isa alifanya kazi kwa shinikizo la baba yake.
Hapa inaonesha wazi kwamba hiyo kazi haikufanywa kwa hiari ya Isa, isipokuwa alikuwa amesukumwa au kubanwa na baba yake.
Mara nyingi kazi za namna hii hazifanywi kwa ubora wake.
Something went wrong...
15 hrs

chini ya shinikizo

Under pressure:katika hali ya msongo wa mawazo au wasiwasi kwa sababu ya kuwa na mambo mengi ya kufanya.
Example sentence:

Wote wawili hufanya kazi vizuri chini ya shinikizo.

Something went wrong...
1 day 2 hrs

Kubanwa/Kushurutishwa/kuwa chini ya shinikizo au msukumo

"Under pressure" ni neno mtambuka linaloweza kutumika kwa mazingira tofauti kulingana na muktadha. Ni hali inayotokea unapofanya kazi bila uhuru. Yaweza kuwa Mkuu wako kazini anakufuatilia kwa kukubana au kukushurutisha kila saa kujua umefikia wapi kumaliza kazi aliyokupatia au Muda unaweza kuwa si rafiki na ukakubana au kukushinikiza na kupelekea kufanya kazi kwa haraka isiyofaa.
Matumizi yake hutegemea sana na uchaguzi wako wa maana tajwa hapo juu kulingana na muktadha.
Example sentence:

1. Nilitafsiri maneno 10,000 kwa kubanwa sana na meneja wangu.

2. Sikuwa huru sababu muda ulinishinikiza kumaliza kazi kwa haraka.

Something went wrong...
Term search
  • All of ProZ.com
  • Term search
  • Jobs
  • Forums
  • Multiple search