English to Swahili: Medical Informed Consent Form Sample (English to Swahili) General field: Medical Detailed field: Medical (general) | |
Source text - English The purpose of this clinical trial is to evaluate the safety and efficacy of the new medication. Participants may experience mild side effects, including nausea, dizziness, or localized swelling at the injection site. You have the right to withdraw your consent and discontinue participation at any time without penalty or loss of benefits to which you are otherwise entitled. | Translation - Swahili Lengo la jaribio hili la kliniki ni kutathmini usalama na ufanisi wa dawa hii mpya. Washiriki wanaweza kupata athari ndogo za kando, ikiwa ni pamoja na kichefuchefu, kizunguzungu, au kuvimba kwa eneo lililodungwa sindano. Una haki ya kuondoa idhini yako na kusitisha ushiriki wako wakati wowote bila kuadhibiwa au kupoteza manufaa ambayo vinginevyo unastahili. |
English to Swahili: Non-Disclosure Agreement (NDA) Clause Sample General field: Law/Patents Detailed field: Law (general) | |
Source text - English The Receiving Party agrees to hold and maintain the Confidential Information in strictest confidence for the sole and exclusive benefit of the Disclosing Party. Neither party shall disclose any proprietary data to third parties without prior written consent. Any breach of this Agreement shall result in immediate termination of the contract. | Translation - Swahili Upande unaopokea unakubali kuhifadhi na kudumisha Taarifa za Siri kwa siri kubwa kwa manufaa ya pekee ya Upande Unaofichua. Hakuna upande utakaofichua data yoyote ya umiliki kwa watu wengine bila idhini ya mapema ya maandishi. Ukiukaji wowote wa Makubaliano haya utasababisha kusitishwa mara moja kwa mkataba. |