The "finals round" is now underway in this pair. Viewers are invited to vote for their favorite translations at this time. The winner(s) in this pair will then be announced. The finals round will end Dec 8, 2026 02:00 GMT. Submission period: Entries are submitted Qualification round: Peers rate entries to determine finalists Finals: Winners are selected by peers Source text in French […] L’origine de la légende de la Vouivre en Franche-Comté se perd dans l’époque médiévale qui fut, on le sait, fort féconde en contes et légendes. C’est autour de la Loue, une rivière du Jura, et de la commune de Mouthier-Haute-Pierre, que notre histoire se passe.
Mais d’abord, parlons de la créature. Selon la description la plus commune, la Vouivre est un serpent géant pourvu de grandes ailes de chauve-souris. Rapide comme l’éclair, elle a la particularité de n’avoir qu’un œil au milieu de la tête. Et encore ne s’agit-il pas réellement d’un œil. Ce qu’elle porte sur le front est une énorme pierre rouge qu’on nomme escarboucle. C’est cette pierre qui suscite toutes les convoitises. En effet, on lui prête des pouvoirs magiques immenses. Selon certaines traditions, elle rend éternellement riche celui qui parvient à s’en emparer.[…] | There were 5 entries submitted in this pair during the submission phase.Entries may now be compared and ranked by peers to determine the winner(s).
Contestants may not include their own entries among those they designate as the top three in this pair.
You must be logged in to rate and vote in ProZ.com translation contests. For certain forms of participation, membership may be required.
Login now » | ...Kwa hakika enzi za kati zilishuduwa na masimulizi ya hadithi nyingi, hatahivyo kuna hadithi zilianza kutoweka kama ile hadithi ya Nyoka mbawa yenye asili ya mji wa Franche Komte. Hadithi yetu inaanzia katika maeneo ya kandokando ya mto Luwe. Ni mto unaopatikana katika eneo la Jura na maeneo ya Mutie UT Piekh. Awali ya yote, hebu tuanze kusimulia habari za kiumbe huyu, inasemekana kwamba ni nyoka mkubwa mwenye mabawa makubwa yanayofanana na popo, mwendo wake ni wa kasi zaidi ya umesa akijitafautisha kwa kuwa na jicho moja tu katikati ya kichwa chake. Kiukweli hilo sio jicho halisi, hilo ni jiwe kubwa jekundu linalofahamika kwa jina la Yakuti iliyong aa. Jiwe hili ni kivutio cha kila mwenye tamaa. Kiukweli nyoka huyu ana nguvu za ajabu sana. Kulingana na baadhi ya masimulizi, mtu yoyote anaefanikiwa kulinyakua jiwe hilo hupata utajiri wa milele... | Entry #39506 — Variant: Tanzaniantanzswa
| [...]Asili ya hadithi ya Vouivre katika eneo la Franche-Comté inapotea katika zama za kati kipindi ambacho, kama tunavyojua, kilikuwa na utajiri mkubwa wa hadithi na ngano. Simulizi yetu inafanyika katika eneo la Mto Loue, ulioko Milima ya Jura, na mji wa Mouthier-Haute-Pierre. Lakini kwanza, tuzungumzie kiumbe huyo. Kulingana na maelezo ya kawaida zaidi, Vouivre ni nyoka mkubwa mwenye mabawa makubwa yanayofanana na ya popo. Akiwa na kasi ya radi, ana sifa ya kipekee ya kuwa na jicho moja tu katikati ya kichwa chake. Na hata hilo si jicho halisi. Kile alicho nacho kwenye paji la uso wake ni jiwe kubwa jekundu linaloitwa carbuncle. Jiwe hili ndilo linalochochea tamaa kubwa; kwa hakika, linaaminika kuwa na nguvu kubwa za kichawi. Kulingana na baadhi ya mila, humpa utajiri wa milele yeyote anayefanikiwa kulipata.[...] | Entry #39041 — Variant: Not specifiednone
| […] Asili ya hadithi ya Vouivre katika Franche-Comté imepotea katika kipindi cha enzi za kati, ambacho, kama tunavyojua, kilikuwa na ut ajiri mkubwa wa hadithi na ngano. Hadithi yetu inafanyika karibu na Loue, mto katika Milima ya Jura, na mji wa Mouthier-Haute-Pierre. Lakini kwanza, hebu tuzungumze kuhusu kiumbe huyo. Kulingana na maelezo ya kawaida, Vouivre ni nyoka mkubwa mwenye mabawa makubwa kama popo. Mwepesi kama umeme, ana sifa isiyo ya kawaida ya kuwa na jicho moja tu katikati ya kichwa chake. Na hata hivyo, si jicho halisi. Kile anachobeba kwenye paji la uso wake ni jiwe kubwa nyekundu linaloitwa karbuncle. Ni jiwe hili linaloamsha matamanio yote. Hakika, inaaminika kuwa na nguvu kubwa za kichawi. Kulingana na baadhi ya mila, humpa utajiri wa milele yeyote anayefanikiwa kulikamata. […] | Entry #39161 — Variant: Tanzaniantanzswa
| Asili ya hekaya ya **Vouivre** huko Franche-Comté inapotelea katika zama za Kati, ambazo, kama tunavyojua, zilikuwa na visa na hekaya nyingi sana. Ni karibu na mto Loue, mto unaopatikana katika eneo la Jura, na katika manispaa ya Mouthier-Haute-Pierre, ambako simulizi letu linatokea. Lakini kwanza, hebu tuzungumzie kuhusu kiumbe huyo. Kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa kwa kawaida, **Vouivre** ni nyoka mkubwa mwenye mabawa makubwa kama ya popo. Akiwa mwepesi kama umeme, ana sifa ya kuwa na jicho moja tu katikati ya kichwa chake. Hata hivyo, si jicho halisi. Kitu anachokibeba kwenye paji la uso ni jiwe kubwa jekundu linaloitwa **escarboucle**. Ni jiwe hili linaloamsha tamaa kubwa ya kulimiliki. Kwa kweli, huaminika kuwa lina nguvu kubwa za kichawi. Kwa mujibu wa baadhi ya mapokeo, mtu anayefanikiwa kulichukua jiwe hilo hupewa utajiri wa milele. | Entry #39440 — Variant: Kenyankenyswa
| […] Chimbuko la hekaya ya Vouivre huko Franche-Comté limefichika katika historia ya Zama za Kati, kipindi ambacho, kama tunavyojua, kilizaa ngano na hekaya tele. Hadithi yetu inatokea katika maeneo yanayozunguka Loue, mto wa Jura, na eneo la utawala la Mouthier-Haute-Pierre. Lakini kwanza, hebu tuzungumze kuhusu kiumbe huyu. Kulingana na maelezo yaliyoenea zaidi, Vouivre ni nyoka mkubwa mno mwenye mabawa makubwa ya popo. Ana kasi ya umeme, na sifa yake ya pekee ni kuwa na jicho moja tu katikati ya kichwa chake. Hata hivyo, hilo si jicho halisi. Kwenye paji lake la uso kuna jiwe jekundu kubwa mno linaloitwa escarboucle. Ni jiwe hili linaloamsha tamaa ya kulimiliki. Kwa kweli, linaaminika kuwa na nguvu kubwa sana za kichawi. Kulingana na baadhi ya mapokeo, humfanya yeyote anayefanikiwa kulitwaa kuwa tajiri milele. […] | Entry #39460 — Variant: Not specifiednone
| | | | | X Sign in to your ProZ.com account... | | | | | | ProZ.com translation contestsProZ.com translation contests offer a fun way to take a break from your normal routine while testing and honing your skills with fellow translators.
ProZ.com Translation Contests. Patent pending. |